Saturday, March 8, 2014

HUU NDIO UGONJWA UNAOMSUMBUA VINCENT KIGOSI RAY WA BONGO MOVIE



                       VINCENT Kigosi ‘Ray’ 


amedhihirisha kuwa anapenda sana kusikiliza muziki wa Hip Hop kuliko muziki mwingine.

Hivi karibuni, baada ya Ray kukiri kuwa anaupenda muziki huo, paparazi wetu alikaa naye kwa zaidi ya saa tano ambapo muda wote alisikiliza muziki huo hususan wimbo wa Gere wa Kundi la Weusi.

No comments:

Post a Comment

 
Support : KARIBU TENA HABARI YA MJINI
Copyright © 2011. AROUND THE WORLD - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA HABARI YA MJINI
Proudly powered by Blogger