Saturday, March 8, 2014

BEN POL AINGIA MITINI NA HELA YA WANACHUO WA DODOMA:


Huu ni mtiririko wa matukio yanayomfikia Gossip Cop Soud Brown,leo tukio lililofikishwa mezani kwake ni la Ben Pol kuchukua pesa ya show na kisha kutoonekana kwenye show yenyewe iliyokuwa imeandaliwa na wanachuo kutoka Dodoma,sikiliza kupitia 104.4 Clouds Fm Dodoma

No comments:

Post a Comment

 
Support : KARIBU TENA HABARI YA MJINI
Copyright © 2011. AROUND THE WORLD - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA HABARI YA MJINI
Proudly powered by Blogger