Thursday, March 6, 2014

WEMA SEPETU ATUPIA PICHA ZA UTATA MTANDAONI...jionee mwenyewe hapa



BEAUTIFUL Onyinye, Wema Sepetu ameendelea ‘kutibua’ hali ya hewa
kwa kukiuka maadili ambapo kwa mara nyingine tena ametupia picha mtandaoni zikimuonesha akiwa amevaa mavazi yaliyoacha wazi baadhi ya sehemu nyeti za mwili wake.
SOMA NA HII YA MWANAMKE ALIYEWEKA SUMU UKENI KUMUUA MUMEWE
Picha hiyo iliyopo kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii
inamuonesha Wema akiwa amevaa kiblauzi chenye matundu kiasi cha kuifanya sidiria aliyovaa ionekane huku sehemu nyingine zikiwa wazi.


 
Wakiizungumzia picha hiyo ambayo Wema anaonekana akiwa na rafiki yake, Kajala Masanja, baadhi ya wadau wamesema msanii huyo anaonekana kujisikia raha sana sehemu zake kuwa wazi.
na hii:PICHAZ 5 KALI ZA KIMAHABA...VANESSA MDEE KITOVU NJE FULL MITEGO AISEE....
“Mh! Huyu Wema na hivi vivazi vyake vya nusu utupu hajambo, sijui anajisikiaje kuvaa vile…hata kama atasema ni kutokana na hali ya joto lakini hii sasa imezidi, huko ni kuwatega wanaume,” aliandika mdau mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Mwanaidi.

No comments:

Post a Comment

 
Support : KARIBU TENA HABARI YA MJINI
Copyright © 2011. AROUND THE WORLD - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA HABARI YA MJINI
Proudly powered by Blogger