Friday, March 7, 2014

MADENTI WA CHUO WABISHANA NA KURUMBANA JUU YA BODY LA NEY WA MITEGO NA DIAMOND

ama kweli dada zetu kumbe wanazidi kuchenguka na wasanii wenye vifua vikubwa,,  hivi majuzi nikiwa cafteria chuo kimoja maarufu tu hapa mujini,,, nikipata zangu chai na chapati sasa kama zali vile nilibahatika
 kukaa na warembo wawili wakali hapa chuo sijaona,, walikaa kiti cha nyuma sasa kimbembe kilianza pale mmoja alipopigiwa simu kumbe ringtone yake aliweka remix ya ngololo ya diamond 
 
SOMA HII:STYLE MPYA ZAIDI YA 30+ KITANDANI UKIWA NA MWENZI WAKO (KWA WALIOZIDI MIAKA 18 TU) alipopokea na kumaliza kuongea acha wenzie waanze kumchamba sasa .. we nawe na ujanja wote umeweka wimbo wa huyo sharobaro,, nakwambia ilikua kimbembe dada akajibu niacheni na sharo wangu (akiwa ana maana diamond) kwanza ana sexy body matata... hakumeza mate baada ya kusema hivo mwenzie akadakia sexy body anayo ney nini diamond ,,, dah nilisikia hasira balaa inakuaje watoto wazuri kama hawa wanatuacha sisi tunaosoma nao 
PICHA ZAIDI:FULL MITEGO YA MREMBO WA KIBONGO REY..NI SHIDAAA AISEE...!JIONEE MWENYEWE HAPAkazi kuwasifia kina ney.. sas sijui wamedata na hizo body kweli au kisa wanamziki

No comments:

Post a Comment

 
Support : KARIBU TENA HABARI YA MJINI
Copyright © 2011. AROUND THE WORLD - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA HABARI YA MJINI
Proudly powered by Blogger