Wednesday, March 5, 2014

WALIJUA JAMBO JIPYA ANALOKUJA NALO DIAMOND? BASI HILI HAPA SOMA HAPA

Kingine Kipya kutoka kwa diamond hiki hapa…

Kupitia ukurasa wake wa instagram diamond platnumz ameweka teaser tano zinazoonekana kama jamaa yupo jagwani hivi. Hisia za wengi zinahusisha kipande hiki na movie na diamond mwenyewe hakuwa nyumba kuelezea maana ya vipande hivyo.
Diamond-Instagram

Je, Unadhani nini kinakuja kutoka kwa diamond ?



-Vibe

No comments:

Post a Comment

 
Support : KARIBU TENA HABARI YA MJINI
Copyright © 2011. AROUND THE WORLD - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA HABARI YA MJINI
Proudly powered by Blogger