Friday, March 7, 2014

SHILOLE"NAMPENDA SANA NUHU NA YEYE ANANIPENDA NIPO TAYARI KUFUNGA NAE NDOA"

Wasanii wa muziki Shilole na Nuhu Mziwanda wameamua kuweka wazi uhusiano wao wa kimapenzi na kudai kuwa wapo tayari kufunga Ndoa.

Huu ndio ujumbe wa Nuhu Mziwanda.


'Tunajipanga mambo fulani yakae sawa mimi na mke wangu kila kitu kitakaa sawa,kweli tunakama miezi miwili,mitatu tunamshukuru Mungu tunapendana kiukweli kila mtu yuko real kwa mwenzake'Alisema Nuhu Mziwanda


Naye Shilole alidai kuwa ni kweli wanapenda na Nuhu


Kwa upande wa Shilole huu ndio ujumbe wake


'Sijamkana Nuhu,kwanini nimkane kwa sababu gani? Yeye ananipenda na mimi nampenda'Alisema Shilole huku akisema yupo tayari kufunga nanye Ndoa.

No comments:

Post a Comment

 
Support : KARIBU TENA HABARI YA MJINI
Copyright © 2011. AROUND THE WORLD - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA HABARI YA MJINI
Proudly powered by Blogger