Thursday, March 6, 2014

MSANII BONGO MUVI APIGA PICHA ZA UTUPU NA KUZIRUSHA MTANDAONI!!!

MSANII wa filamu za kibongo, Rachel Haule ‘Recho’ hivi
karibuni aligeuka kituko baada ya kutupia picha ya nusu
utupu katika mtandao wa kijamii.
Picha hiyo ambayo Recho amevaa shati tupu (inayoonesha
ndani) bila kuvaa kitu kingine chochote, aliitupia kwenye
mtandao wa kijamii wa Instagram ambapo mashabiki na
marafiki zake walichangia huku wakimlaumu kuwa



SOMA HII:KUMRIDHISHA MPENZI WAKO HAIJARISHI UKUBWA AU UDOGO WA MAUMBILE... SOMA HAPA UPATE MBINU.. NA JINSI YA KUJUA KAMA UNA KIBAMIA AU LAH
hakufanya vizuri kuiweka picha hiyo ya aibu mtandaoni.
Mwandishi  wetu alimuuliza Recho kulikoni? Akajibu hivi:
“Nawapenda sana marafiki zangu lakini mimi sijaona
tatizo la hii picha kwa sababu ni ya kawaida sana sioni
ubaya wake.”

UNAAMBIWA AL-SHABAB LATANGAZA MAUAJI KUPITIA FACEBOOK  

No comments:

Post a Comment

 
Support : KARIBU TENA HABARI YA MJINI
Copyright © 2011. AROUND THE WORLD - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA HABARI YA MJINI
Proudly powered by Blogger