Thursday, March 6, 2014

KUTOKANA NA BUNGE LA KATIBA, MAKAHABA WAONGEZEKA KWA KASI MITAA YA DODOMA




HUSIPITWE HII: WANAUME KWA WANAWAKE NDANI YA KIDORO HUKO KINONDONI JANA, KWA UFUSKA HUU TUTAFIKA?? JIONEE MWENYEWE HAPA Ongezeko la  mmomonyoko wa maadili linazidi kushika kasi, siku hizi ushoga n ausagaji kimekuwa kitu cha kawaida sana  sasa sielewi ni kwenda na wakati au ni laana za mababu zetu? Sasa hivi kuna bunge la katiba linaendelea Dodoma  jambo linaufanya mji kuwa busy kupita kiasi … ukizingatia pia kuna vyuo zaidi ya sita mjini hapa..  kama usemi usemavyo mgeni njoo mwenyeji apone… ni kwamba makahaba nao wanatumia fursa eti… sasa hivi ukienda sehemu za starehe mfano master pub,  chako ni chako,  maisha club na hata 84 ni balaaa tupu , zaidi zaidi ukienda na  suti au mavazi ya heshima unaonekana ni walewale wazee wa mjengoni basi utashobokewa balaa na watoto wa kike mradi tu utoe mchuzi., na ukingia club ndo usiseme panajaa makahaba kinoma noma ..  ukikaa counter lazima wakusumbue kwa kukulegezea macho ,  lakini inaonekana wanunuzi wapo kwani wangekuwa hawapo wasingeendelea kujiuza  au unasemaje mdau? Na inasemekana wengine wanatokea mikoa ya jirani..  na si hao tu unambiwa wengine wanatoka dar, arusha nk.  Kuwa makini achana na michepuko sio dili baki njia kuu..
NA HII HAPA: KERO JUU YA KEROOOO.... DENTI MWINGINE AVUJISHIWA PICHA ZAKE MTANDAONI  
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiEpRvfItmvBmRPXbwKbNBpFYj7Z3EUFPli_Qadik5qqrK7dOdsANwByAv3lT-tK5sM0TwVbquO70pQDjHB0U9do1SpUptMpyJPLt-bYc1BVhaYnljltu0aW32EX0IxOGPgyHJDspr5ul0/s640/47284_548071621874168_1124142634_n.jpg

No comments:

Post a Comment

 
Support : KARIBU TENA HABARI YA MJINI
Copyright © 2011. AROUND THE WORLD - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA HABARI YA MJINI
Proudly powered by Blogger