Tuesday, March 4, 2014

IDADI YA WANAUME WANAOBAKWA NA WANAWAKE YAZIDI KUONGEZEKA HUKO ZIMBABWE

imeripotiwa kuwa Idadi ya wanaume wanaobakwa na wanawake huko zimbabwe imekua ikiongezeka kwa kasi kila kukicha, mwanaume mmoja anaefahamika kwa jina la Al Bayan aliwashtaki wanawake watatu kwa kosa la kumkaba kumpiga na kumbaka kwa zamu katika mji wa B ulawayo 
   polisi wanasema hiyo ni kesi ya sita ya ubakaji wa wanaume tangu mwaka huu uanze, mwanaume mwingine anadai kupewa lift na wanawake wawili ambao badae wlimpulizia chemiko na alposhutuka ndipo alipogundua kuwa alikua amebakwa.wanawake hao pia wlimwiba simu pamoja na pesa kiasi cha dola 20 .
 

No comments:

Post a Comment

 
Support : KARIBU TENA HABARI YA MJINI
Copyright © 2011. AROUND THE WORLD - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA HABARI YA MJINI
Proudly powered by Blogger