Monday, March 3, 2014

“Alinimwagia Tindikali Usoni baada ya Kumnyima Penzi “…..Mdau

Mambo Admin Jina langu naitwa Mwatuli kuna mkaka Alinitaka kimapenz nikamkatalia akaniambia atanikomesha na hii sura ninayoringia siku moja nimetoka kwa mama mdogo nikakutana nae pale njiani akiwa na vijana wa3 walinishika na kunimwagia kimiminika cha baridi dk kama 3 hivi nilianza kusikia maumivu makali siwezi hata kusimulia….aah nliumwa sana nkapiga kelele wakaja wasamaria wema kunisaidia nlipelekwa hosipitalini naambiwa nilizimia kwa masaa 36 nimezinduka
nimeongea na dactari ananiambia kwa ile aina ya tindikali niliyomwagiwa naweza kupata kansa ya
damu!! Hivyo nahitajika kwenda nje ya nchi kwa ajili ya matibabu zaidi
ni nani atanisaidia masikini mimi naishi kwa mama mdogo na wazazi wangu walishatangulia? Ndugu yangu binadamu mwenzangu nimekuja kwako sihitaji pesa zako bali tu maombi juu yangu
”naamini kwa MUÑGU hakuna linaloshindikana namwOmba MUNGU kwa uweza wake afungue
milango yote itakayosaidia nipate afya bora na faraja yangu upya kama nlivokua zamani katika yeye kila kitu kinawezekana’

*Ukimaliza kusoma sema Ameni–Naamini ameni amen yako ina nguvu na ninaamin miujiza itatendeka juu yangu NA MuNGU akubariki!!!!

No comments:

Post a Comment

 
Support : KARIBU TENA HABARI YA MJINI
Copyright © 2011. AROUND THE WORLD - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA HABARI YA MJINI
Proudly powered by Blogger