Jinsi ya kumtambua mpenzi aliyekusaliti muda mfupi uliopita
Kuna baadhi ya watu wanayatendea haki mapenzi; wapo makini kwa kila kitu katika uhusiano wao na hivyo kuwa kama wanaishi kwenye paradiso ya pekee. Pia, wapo wengine ambao wanayaona mapenzi machungu, wanayachukia na kwa hakika wanalaani kukutana na wenzi walionao.
Kwa nini? Kwa sababu kila siku ni
ugomvi, hawana amani. Hawapati muda wa kukaa na kupanga mambo yao, kila
wakikutana ni ugomvi. Kunyang’anyana simu na kupekua meseji ndiyo sehemu
ya uhusiano wao.
Utakapoona wapenzi hawaishi ugomvi, ujue
kwamba wanaishi kwa mashaka. Kila mmoja haamini kama mwenzake siyo
kicheche. Pamoja na ugomvi wao, wengi wanashindwa kuwatambua wenzi ambao
wamewasaliti muda mfupi uliopita.
Katika mada yetu ya leo, tutaangalia
mambo 10 ya msingi ambayo yanaweza kukusaidia kumtambua mpenzi
aliyekusaliti muda mfupi uliopita. Hapa namaanisha utaweza kumtambua
mpenzi aliyekusaliti ndani ya saa 24.
Tafadhali weka mawazo yako hapa ili uweze kumgundua mwenzi ambaye ni mwizi wa haki yako. Sasa hebu twende tukaone.
RATIBA YA GHAFLA
Rafiki zangu, ukishaanza kuwa na wasiwasi na mpenzi wako kwamba huenda anataka kukusaliti, jambo la kwanza kabisa unalotakiwa kukumbuka ni sehemu aliyokuambia amepitia/anakwenda kama ilikuwa katika mipango yake au amefanya safari ya kushtukiza.

Hii ni dalili ya kwanza kabla hata hamjakutana nyumbani; “Sorry baby, kuna sehemu napitia mara moja, nitachelewa kidogo kurudi nyumbani,” kauli kama hii iangalie sana.
Mwingine anaweza kupiga simu na kusema:
“Mume wangu, bosi ametupa ofa ya dina wafanyakazi wote, kwa hiyo
nitachelewa kurudi nyumbani, samahani sana dear.”
Kauli hizo mbili ni alama ya kwanza
katika kushibisha hoja yako ya kusalitiwa kama ni kweli atakuwa amefanya
hivyo. Kumbuka kwamba, si lazima kila anayesema amepata dharura
amesaliti.
ANAKWEPA KUWASILIANA
Mtu huyo ambaye ameshatoa taarifa kwamba amepata dharura, utashangaa hataki kuwasiliana na wewe. Pengine ukimpigia simu, anaweza asipokee na kama akipokea anaweza kukujibu: “Nitakupigia baadaye, samahani sipo sehemu nzuri.”

Unaweza kumwandikia meseji lakini pia
asijibu. Wapo wengine vichwa ngumu zaidi, ambao wao kuacha kupokea simu
na kujibu meseji si vitu muhimu sana, wanazima kabisa! Ukiona dalili
hii, basi ujue unasalitiwa.
UCHANGAMFU KUPITILIZA
Pamoja na mambo hayo hapo juu, lakini mwenzi huyu akirejea nyumbani, huwa mchangamfu kupitiliza. Ana maneno mengi, anaanzisha mijadala ya ghafla na kuifunga mwenyewe. Atajifanya anataka kufanya mambo mengi kwa ajili yako.

Ahadi zake zinakuwa nyingi za ghafla na
nyingi zipo wazi kabisa kwamba si rahisi kuzitekeleza. Alama hii ni kati
ya zile 10 zinathibitisha kwamba ndani ya saa 24 umeibiwa mali yako.
UPOLE KUPITILIZA
Kinyume cha uchangamfu ni upole, kama mwenzi wako ametoka kimapenzi na patina mwingine kwa ile hofu yake moyoni, anaweza kuwa mpole kupitiliza. Anafanya hivyo kwa lengo la kutafuta huruma.

Hana sababu ya kuwa mpole, lakini
anaweza kutumia ngao hiyo, ili maswali utakayomuuliza yawe kuhusu upole
na ukimya wake, usahau mambo ya kuhisi kuwa umesalitiwa. Hata hivyo,
majibu yake yanaweza kuwa ya mkato sana: “Sijisikii vizuri, siku yangu
haikuwa nzuri kabisa leo. Kuna mtu nimetibuana naye ofisini,
amenichanganya kabisa.”
Alama hii ni moja ya sababu
zitakazokufanya uendelee kumchunguza katika hatua zinazofuata ili mwisho
ugundue kuwa umesalitiwa au ni wasiwasi wako tu.
UGONJWA WA GHAFLA
Katika kukwepa usumbufu wa maswali mengi, mwingine huamua kujifanya anaumwa. Atarudi akiwa mkimya kuliko kawaida, ukimwuliza atakujibu kuwa anaumwa. Kama mpenzi wake, anajua wazi kuwa hutakuwa na muda wa kuanza kuhisi usaliti badala yake utamjali na kuuliza hali yake.

Mgonjwa huyu kwa kawaida huwa haumwi
magonjwa siriasi, sana sana atakuambia hajisikii vizuri, kichwa
kinamgonga au moyo unaenda mbio. Ukizungumza kuhusu suala la hospitali
atakataa akidai hana hali mbaya sana. Mara nyingi hupenda kukimbilia
kitandani, akitaka kupumzika.
Anafanya hivyo kwa sababu anakwepa aibu
ya kukutanisha uso wake na wako. Ukitaka kwenda kumnunulia dawa za
maumivu atakujibu: “Nimeshameza panadol baby.” Mwenzi wa aina hii
unatakiwa umtilie mashaka, maana inawezekana ametoka kufanya kitu
kibaya.
MAJIBU TATA
Mpenzi ambaye ametoka kukusaliti huwa hapendi kuulizwa maswali mengi, ukimwuliza majibu yake huwa tatanishi sana. Kwa kuwa ameshasingizia kwamba anaumwa, hivyo atafika na kulala moja kwa moja.

Ukitaka kujua zaidi kuhusu kuugua kwake
au dharura aliyoipata iliyosababisha achelewe kurudi nyumbani, hukosa
majibu yanayoeleweka. Wakati mwingine anaweza kujisahau na kukupa jibu
ambalo linapingana na maelezo yake ya awali. Ukiona hivyo ujue kuna
namna.
HATAKI FARAGHA
Kwa kuwa tayari ameshatoka kwa mtu mwingine, huhofia sana kukutana na wewe faragha. Kama tulivyoona katika vipengele vilivyopita, hutengeneza mazingira ya kukufanya msikutane kimwili, hofu yake ikiwa ni kukuficha usigundue mchezo wake mchafu.

Kisingizio cha kuumwa, bila shaka ni
kikubwa na kitakufanya ushindwe kuwa na mhemko wa kimahaba, lakini
kurudi nyumbani akiwa amekunja ndita au mpole kupitiliza, tafsiri yake
ni wewe kuogopa au kuhamisha hisia zako kutoka kwenye mapenzi na kuanza
kumfikiria yeye kama yeye.
Kwa vyovyote vile, kama ni mwenzi wako
wa muda mrefu, zipo alama nyingi zitakazoweza kukufanya ujue kuwa
ametoka nje, kwanza ni vyema kumkazania kukutana naye faragha. Hata kama
atasingizia anaumwa, ng’ang’ania kukutana naye, maana hapa ndipo penye
ukweli mkubwa zaidi.
Mchunguze anavyokupokea, halafu pima
uwajibikaji wake. Huwa mvivu na asiyetaka kutoa ushirikiano. Anaweza
kuishia kulalamika kuwa hajisikii vizuri na kusisitiza mhairishe zoezi
hilo.
Mpenzi msomaji, njia unayopita kila siku
unaijua. Sehemu yenye makorongo unaifahamu, yenye matuta pia utatambua,
hata yenye makorongo yenye maji yaliyosimama pia unaijua vyema, sasa
ukikutana na tofauti yoyote katika barabara unayoitumia siku zote, maana
yake tingatinga limepita.
ANAKWEPA KUSOGELEWA
Akifika tu nyumbani, atahakikisha hupati nafasi ya kuwa naye karibu. Hataki kabisa kusogelewa. Hapo anakimbia vitu vitatu;

Kwanza kabisa, inawezekana huko alipotoka alitumia manukato tofauti na aliyotoka nayo nyumbani asubuhi.
Pili, manukato ya sabuni mpya
aliyotumia, anaogopa usiyasikie, tatu, kila mtu ana harufu yake,
unapokaa na mtu kwa ukaribu hasa faragha kwa saa mbili au zaidi, kila
mmoja huhama na harufu ya mwenzake.
Kwa kuwa wewe unaitambua vyema harufu ya
mpenzi wako, atahofia kukusogelea maana utashtukia. Mwisho kabisa, hata
kama atakuwa amekwepa yote hayo, labda hajaoga, hajatumia manukato
mengine, bado utaweza kumkamata kwa harufu ya manukato, sabuni au mafuta
aliyotumia mtu aliyekuwa naye.
Kukwepa kukusogelea, tafsiri yake ni
kwamba hataki usikie harufu ya tofauti kutoka kwake, maana anajua
alichokifanya. Jiulize, kama kila siku huwa mnapokeana kwa mabusu na
kukumbatiana, kwanini safari hii anakukwepa?
ANAKIMBILIA BAFUNI
Akifanikiwa kukuzuga katika kipengele kilichopita, basi safari yake huishia bafuni. Ataenda haraka na hatataka kwenda na wewe maana kuna kitu anajaribu kukuficha. Wengi wanaamini (kuna ukweli kwa asilimia chache) baada ya kuoga wanaweza kupoteza ushahidi wa kutoka nje ya ndoa/wapenzi wao.

Utakapomruhusu aoge, kwanza atatumia
sabuni ya siku zote, ambayo anaweza kuitumia kwa wingi awezavyo ili
kuficha ushahidi. Atajisafisha zaidi nyeti zake ili usijue kilichotokea
muda mfupi.
Akitoka bafuni lazima atakimbilia kwenye
meza ya kujipambia kisha hapo atajimiminia manukato ili kuzima kabisa
ushahidi ambao ungeweza kumuumbua. Jiulize, kama kila siku huwa mnaoga
pamoja, kwanini amekuja ghafla na kukimbilia bafuni bila wewe?
WASIWASI MWINGI
Atakuwa mwenye wasiwasi mwingi sana, hata kama akikubali kukutana na wewe faragha, ushirikiano huwa hafifu. Mwoga kupitiliza na muda wote huwa anahisi kwamba hatakufikisha salama safari yako.

Wasiwasi wake hauishii hapo, hata
kupeana mikono tu na kukutanisha macho, kutakuonesha jinsi alivyo na
wasiwasi. Si kama anapenda hali hiyo, ila anazidiwa na hisia za usaliti
kwa kuwa anajua alichokifanya muda mfupi uliopita.
Kama utavifuatilia vipengele hivyo kwa
makini, ni rahisi sana kumkamata mwizi wako. Acha papara, chunguza
taratibu, ukiona angalau kuna nusu ya hizi nili zokupa hapo juu, ujue
wazi kuwa unaibiwa tu
source: bongo lifestyle
jinsi ya kumtambua mpenzi aliyekusaliti mda mfupi uliopita

No comments:
Post a Comment