polisi wanasema hiyo ni kesi ya sita ya ubakaji wa wanaume tangu mwaka huu uanze, mwanaume mwingine anadai kupewa lift na wanawake wawili ambao badae wlimpulizia chemiko na alposhutuka ndipo alipogundua kuwa alikua amebakwa.wanawake hao pia wlimwiba simu pamoja na pesa kiasi cha dola 20 .
Tuesday, March 4, 2014
IDADI YA WANAUME WANAOBAKWA NA WANAWAKE YAZIDI KUONGEZEKA HUKO ZIMBABWE
imeripotiwa kuwa Idadi ya wanaume wanaobakwa na wanawake huko zimbabwe
imekua ikiongezeka kwa kasi kila kukicha, mwanaume mmoja anaefahamika
kwa jina la Al Bayan aliwashtaki wanawake watatu kwa kosa la kumkaba
kumpiga na kumbaka kwa zamu katika mji wa B ulawayo
polisi wanasema hiyo ni kesi ya sita ya ubakaji wa wanaume tangu mwaka huu uanze, mwanaume mwingine anadai kupewa lift na wanawake wawili ambao badae wlimpulizia chemiko na alposhutuka ndipo alipogundua kuwa alikua amebakwa.wanawake hao pia wlimwiba simu pamoja na pesa kiasi cha dola 20 .
polisi wanasema hiyo ni kesi ya sita ya ubakaji wa wanaume tangu mwaka huu uanze, mwanaume mwingine anadai kupewa lift na wanawake wawili ambao badae wlimpulizia chemiko na alposhutuka ndipo alipogundua kuwa alikua amebakwa.wanawake hao pia wlimwiba simu pamoja na pesa kiasi cha dola 20 .
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment