Wednesday, March 5, 2014
Huu Ndio Mjengo Mpya wa Msanii Ally KIBA…Muziki Unalipa Jamani.
Ukiwa ndani ya Hekalu Jumba la Ngvu la Msanii ally Kiba
Akimalizia kuweka sawa maeneo ya master bedroom.
Hili ni eneo la Nje la Hekalu la Msanii Ally Kiba
Msanii Wa Bongo Fleva hii leo Kupitia Ukurasa wake wa FB ameamua kuweka hizi Picha zenye mwonekano wa Hekalu(mjengo wa Nguvu) anaoumalizia kuufanyia-renovation
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment