Na Hadija Jumanne, Mwananchi
- Baadhi ya watu ambao wanakumbwa na ugonjwa huu shingo huvimba kama hivi. Hata hivyo wapo wenye kuvimba hivi lakini si kwa sababu walifanya ngono kwa kutumia mdomo, isipokuwa yaweza kuwa ni sababu nyingine zikiwemo kurithi.
- Wataalamu wa masuala ya afya wanashauri kwamba ni muhimu sana watu wakaachana kabisa na tabia hii kutokana na ukweli kwamba siyo tu kwamba ni hatari kwa afya, pia ni sawa na kujiua mwenyewe, kwani kitendo hicho kinachangia magonjwa mengi.
Leo ni siku ya Saratani Duniani. Wakati
tunaadhimisha siku hii hapa nchini idadi ya vijana ambao ni tegemeo la
taifa inazidi kupungua kutokana kuangamia kwa saratani ikiwemo ya koo.
Utafiti uliofanywa na Shirika la Afya Duniani
(WHO) nchini umeonyesha asilimia 20 ya saratani ya koo husababishwa na
ngono ya mdomo maarufu kama ‘Oral Sex”.
Utafiti huo unaonyesha saratani ya koo licha ya kuambukizwa na njia mbalimbali ikiwemo ulaji wa vyakula vyenye pilipili,
pombe kali, vitu vyenye uchachu pamoja na kurithi kutoka kwa wazazi.
Utafiti unaonyesha watu wengi hasa vijana
wanamejiingiza kwenye vitendo hivi vya kufanya ngono wakitumia midomo
hasa ndimi, hivyo kuhatarisha uhai wao.
Katika utafiti huo wa hivi karibuni, ulibaini
wanaume 747 na wanawake wakiwa 472 hugundulika kila mwaka kuwa na
saratani hiyo huku wanaopoteza maisha kila mwaka ni wanaume 444
wakifuatiwa na wanawake 270 kutokana na ugonjwa huo.
Utafiti unabainisha kuwa asilimia kubwa ya vijana
wenye umri kati ya miaka 20 hadi 45 wanatumia staili ya kuwanyonya wenza
wao sehemu za siri lengo likiwa ni kuwavutia wapenzi wao katika kushiriki ngono.
Vijana wenye umri huo ndio wahanga wakubwa kwa
sasa kutokana na ugonjwa huo kuonekana kuwaathiri kwa kasi, huku wengi
wakiwa hawajui athari zake. Baadhi hujisifia kwamba ni wajuzi, kumbe
wanajitafutia kifo kwa kufanya vitendo hivyo.
Utafiti unaonyesha kwa watu wazima walio wengi
hawana muda wa kufanya hayo wanayofanya vijana, hivyo kujikuta angalau
wanakuwa salama na kupatwa na saratani ya koo kwa njia hiyo inayoonekana
kama ni chafu pia.
Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Saratani kutoka Taasisi ya Saratani ya Ocean Road,
Dk Crispin Kahesa anasema saratani ya koo ni ya pili katika mtiririko
wa saratani zinazowapata wanaume nchini, ikiongozwa na ile ya ngozi
(Karposi’s Sarcoma) ambayo huambukizwa kwa njia ya kujamiana. Kuna
saratani aina zaidi ya 24 zinazoisumbua Tanzania.
Anasema mbali na staili hiyo pia, kuna baadhi ya
watu hupata saratani ya koo kwa kurithi kutoka kwa wazazi wao na
wengine kuwa na umri mkubwa ambao huchangia kupata tatizo hilo, lakini
siyo kwa asilimia kubwa kama ile ya ngono ya mgomo.
“Hali hii ya vijana wenye umri huo kuwanyonya
wanawake inatokana na ujana, wengine wanaiga kwenye mitandao, lakini
mambo haya hayakuwepo zamani tofauti na sasa, utakuta wanaume
http://mtukwaotz.blogspot.com/2014/03/picha-zaidifull-mitego-ya-mrembo-wa.html ili aweze kumvutia mwanamke anamfanyia hivyo sehemu za siri, lakini zamani staili hii haikuwepo kabisa,”
BOFYA HAPA: PICHAZ 5 KALI ZA KIMAHABA...VANESSA MDEE KITOVU NJE FULL MITEGO AISEE.... anasema Dk Kahesa na kuongeza.
source: mwananchi
http://mtukwaotz.blogspot.com/2014/03/picha-zaidifull-mitego-ya-mrembo-wa.html ili aweze kumvutia mwanamke anamfanyia hivyo sehemu za siri, lakini zamani staili hii haikuwepo kabisa,”
BOFYA HAPA: PICHAZ 5 KALI ZA KIMAHABA...VANESSA MDEE KITOVU NJE FULL MITEGO AISEE.... anasema Dk Kahesa na kuongeza.
source: mwananchi
Unique gifts for all occasions. Best place to buy gifts for grandma, grandpa, brother sister, dad, thoughtful gifts and for all other. gifts for couples
ReplyDeleteKnow all the viral news, upcoming trends, latest web series at one place. Know which are the best web series coming. india trending
ReplyDeleteBuy the Best solo microwave oven in India, best convection microwave oven under 5000, 10000, 15000. best microwave convection oven
ReplyDeleteBrowse the best fitness tracker device in India which are wearable and stylish. All these fitness band are of the best quality. best fitness band under 5000
ReplyDeleteGet your hands on the best convection microwave oven under 15000 for baking etc in budget. best convection microwave oven under 15000
ReplyDelete