Tuesday, March 4, 2014
FUNDISHO: AFUMANIWA NA MKEWE, MAMA MKWE AINGILIA KATI NA KUMTEMBEZEA BAKORA MKWEWE
Katika
tukio la aina yake lilitoka huko mkoani mwanza misungwi kijana mmoja
iliyefahamika kwa jina la Festo alijikuta anapata aibu ya mwaka baada ya
kufumaniwa na mkewe akila unyumba na mwanamke mmoja ambae inasemekana
ni jarani yao, mke baada ya kupewa tarifa na majirani alikimbilia kuomba msaada kwa mama
yake, mama huyo ambaye inasemekana ni mwanajeshi mstaafu alitoka na
bakora na kuelekea eneo la tukio, ambapo majirani walimsaidia kuwatoa
wizinzi hao ndani... mama mkwe bila kupoteza wakati alimkunja mkwewe na
kuanza kumpa kichapo cha mbwa mwizi huku majirani wakimshanglia wa
kitendo chake cha kishujua.." huyu mama kiboko sijawahi ona nadhani hii
itakua fundisho maana huu mtaa wamezidi" alisema mama mmoja ambaye
akutaka jina lake kwenda hewani.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment